Tunakujengea na kukukabidhi Nyumba Hizi
*** Ndani siku 50 kwa Makubaliano *** +255 657 685 268
"Ni Haki Yako Kuishi Nyumba Nzuri na Salama!"
Specifications:
* Bati Kawaida za rangi 30G
*...
Wakuu salamu,
Hali ya uchumi mbaya, nauza plot imepimwa na ina title kabisa. SQ 1800 Kiwanja kipo mapinga karibu na ndoto pole pole.
Mawasiliano 0713088135
Tunakujengea na kukukabidhi Nyumba hii kwa
*** Tshs. 32.20 Millions tuuu!
*** Ndani siku 50 kwa Makubaliano
+255 657 685 268 - "Ni Haki Yako Kuishi Nyumba Nzuri na Salama!"
Specifications:
*...
Karibu mkazi wa Iringa kwenye semina ya kibiashara na Kampuni ya Oriflame.
Ukiwa tayari na unauhitaji kuskiliza fursa ya biashara hii karibu tukutane pale Posta Garden. Nitakuwa pale ili kutoa...
Tanzania Educational Publishers Ltd iliyoko Manispaa ya Bukoba Mkoa wa Kagera, inakutatangazia upatikanaji wa vitabu mbalimbali vya Kilimo na Mifugo kwa bei nafuu. kwa maelezo zaidi tembelea...
Nauza kiwanja maeneno ya Tegeta Madale- Mbopo cha ukubwa wa 40*40.
Hakijapimwa, ila nyaraka za serikali ya mtaa zipo.
Bei 18Million, maongezi yapo kidogo.
Karibuni.
Salaam Wakuu....
Usiku wa kuamkia jana niliibiwa vipuli vya gari aina ya Caina Ti T711 DEH
Kwakuwa jamii forum ni mtandao mpana nimeona ni vema kuwajulisha ili ambao mna magari mkawa makini msije...
nauza simu yangu aina ya Tecno C8 ikiwa katika hali nzuri sana.Simu haina tatizo lolote,haina scratches wala dent yoyote.Angalia picha ukipenda njoo tuzungumze. 0788309409
Maelewano kidogo yapo