New business opportunity Tanzania

multitalented123

Senior Member
Nov 30, 2015
126
47
Wakuu nawasalimu!

Katika kipindi kigumu ndiko ambako tunapata mawazo mapya ili kutimiza ndoto zetu

Kampuni ya "Alliance in Motion Global" ambayo ilianzia nchini Philippine miaka 11 iliyopita imeingia Tanzania mwaka huu 2017 Mwanzoni na inatoa furusa kwa makundi yote kujipatia kipato na kutimiza ndoto zao

Kama ni wafanyakazi( waajiriwa)
-wasio na ajira
-wasomi
-Ambao hawajasoma
-Rika zote

Ni njia nzuri na rahisi kujipatia kipato na wako watu wengi wameshajiunga, uzuri wa hii furusa ni kwamba unaweza kufanya kama part time/ ziada au unafanya full time

Nawahimiza watanzania wenzangu kwa ujumla ukipata taarifa hizi mjulishe na mwenzio

Kumbuka Alliance in Motion Global inafanya kazi Worldwide

Nikukaribishe katika ofisi zetu zilizoko makumbusho bus stand, tunapatikana kila siku kuanzia saa 7-8 mchana na 8 mchana - 12 jioni kwa ajili ya maelezo zaidi

Japo kua ntaendelea kuleta tips mbalimbali kuhusiana na hii kampuni

Waweza kunitafuta kupitia

+255 682 139 206
+255 757 614 012
+255 715 614 012

Waweza kunitafuta WhatsApp ama kawaida muda wowote

Karibuni sana.
 
This stupidity again.
Tafadhali watanzania em acheni ujinga, hizi ponzi scheme companies kuna sababu zimepigwa marufuku nchi kama US, tena ukianzisha unafungwa jela miaka kibao. Zimejazana sana nchi za Afrika maana vilaza mmejaa, na it pains kuona serikali imekaa inaangalia tu huu upuuzi, sasa hivi kuna kampuni ka 10 zinaoperate kuibia watu pesa, mwisho wa siku mtajikuta mlikua mnapoteza muda tu.

Seriously people, find better jobs to do.
 
Alliance in Motion Global ni kampuni ambayo imesajiliwa na Brela, ina ofisi zinazotambulika ziko wapi, inalipa kodi nchini, na juzi viongozi baadhi walienda kupresent bungeni kwa wabunge kabisa

Kama kingekua ni kitu fake nafikri ingekua vigumu kufika bungeni ambako wako wawakilishi wetu na uzuri ni kwamba hata wao wamejiunga wengi tu
Hivyo niwatoe tu wasiwasi kuhusu hii kampuni its real and true

Alliance in motion Global inashirikia pia na kampuni ya nature's way kutoka marekani

Karibu ofisini kwetu makumbusho stand second floor kuanzia 7-8 mchana na 8 mchana mpaka 12 jioni tutapate kuifahamu hii furusa zaidi maana kuna training maalum kila siku za juma na jumamosi kuanzia saa 7 mchana mpaka 12 jioni

Sio lazima wote tufanye Alliance!! wengine mtatokea kwenye biashara zenu binafsi au ulikoajiriwa

Lakini Alliance in motion Global ni njia rahisi na nyepesi kujipatia kipato then unatimiza ndoto unayotaka

Mimi nawakaribisha sana ukiona haikufai basi wengine watafanya, namba zangu ziko hapo juu tuwasiliane na utarudi hapa kushuhudia wengine
 
Umeulizwa shughuli za kampuni
 
Maelezo meeeeeeengi,swali la msingi "mnajishughulisha na nini?" Au mpaka upigiwe simu ndio utajibu?
 
Elezea shughuli za kampuni ndo tujue kama tutakuja kwenye training au la, sio unatuambia mambo juu juu tu
 
Kuna dalili za utapeli hapa. Huwezi inadi kampuni bila kueleza inashughulika na nini.
 
Ubaya wa hizi kampuni ( ponzi scheme) kujiunga unaambiwa utoe kiingilio mara nyingi siyo chini ya laki mbili
Wakati huo wanahamasisha watu ambao ni jobless, waliotoka vyuoni, wenye vipato duni etc..
Sasa kama ni kweli ni ajira kuna haja gani ya viingilio hivo?
Mtu anakuja kutafuta pesa then unamcharge pesa nyingi eti kiingilio. Shame
 
hili swali halina jibu au?? mbona amekimbia kujibu??

mnajishughulisha na nini???
 
Watu mnaharaka duuh!

Alliance in Motion Global ni network marketing yenyewe ukishakua member kwa kiingilio fulani Unaanza kualika ama kuwajulisha wengine ndipo kuliko na aina kama 7 hivi za kujipatia kipato
 
Back
Top Bottom