Mgahawa unakodishwa

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,261
9,732
Uko opposite na ustawi wa jamii dar es salaam.
Kodi ni laki 500,000.
Hiyo hiyo laki 5. Viti 35 na meza atavikuta, majiko, ya mkaa na gesi, la kuchomea nyama, mishkaki, vyombo, freezer, miamnvuli na maturbai yapo.
Kodi ni kwa mwaka.
Karibuni sana.
Kwa mawasiliano 0657160252
983e273fdeb0e2a9c4b2aef033a91bde.jpg
455e4a84d606b37a019c7ecd2b0b847e.jpg
 
kodi kwa mwaka maana yake mnataka millioni sita mbele? au mimi ndo sijaelewa?
 
Yaani urisk millions 6 sehemu yenyewe hujajua itakulipa kiasi gani, tena hatari zaidi ni kwamba mwenzio anapakimbia
 
Kodi inalipwaje? Kila mwezi au?
Kwa mwaka hiyo kodi onajumuisha freezer, vyombo viti 35 na meza zake, jiko la kichomea nyama na jiko la kukaangia chips, miamvuli na maturubai pamoja na jiko la gas.
Wewe ni kununua misosi
 
Bro maisha magumu haya....milioni 6 at once halafu sehem mtu hajaifanyia estimations. Labda tuulize huyo aliyekuwepo kwanini anafunga biashara?
Fanya ilipwe kila mwezi bro
 
Bro maisha magumu haya....milioni 6 at once halafu sehem mtu hajaifanyia estimations. Labda tuulize huyo aliyekuwepo kwanini anafunga biashara?
Fanya ilipwe kila mwezi bro
Ndugu mtu anaweza kuamua kuacha biashara kwa mambo mengi ikiwemo usimamizi, kuhama, mtaji na mengine.
Najua hali ni ngumu ila wapo watakaoweza maana washaanza kuntafuta.
 
Yaani hapo Ili uweze kupaendesha kwa haraka haraka unatakiwa uingize faida tu isipungue 50,000/kila siku!
Na pale palivyo kodi ikiisha na mtaji kwishiney.
 
Back
Top Bottom