Natafuta banda la kukodi

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
727
548
Husika na kichwa cha habar apo juu, natafuta banda la kukodi kwa ajili ya ufugaji kuku Wa biashara.

Banda lisiwe kubwa Wa Dogo sana liwe saizi ya kati.

Banda liwe mjini au nje ya mji yote sawa.

Tanguliza shukran zangu.
N.B Niko Mbeya mjini

Njoo PM kama unalo.
 
Mkuu kwa Mby jitahidi wewe mwenyewe shuka hadi mbalizi au uyole kaongee na wenyeji wa pande zile unaweza pata nafasi.
 
Back
Top Bottom