Niuzie betri ya simu ya halotel H8401

Todito

Senior Member
Feb 6, 2013
154
359
rejea kichwa cha habari chahusika.

naandika kuomba niuziwe betri ya simu ya halotell H8401
nimezitafuta sana madukani kwao Arusha Dar na Mwanza hawana
kwa aliye nayo naomba aniuzie na pia ni fursa kwa
wafanyabiashara kuziingiza sokoni maana kwa sasa hazipo kabisa.

ahsanteni
 
Back
Top Bottom