Nyumba inapangishwa Sakina.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
8,157
13,381
Heshima kwenu wakuu,
Nyumba inapangishwa Sakina,jirani na Trust St.Patrick Schools. Nyumba kubwa INA vyumba vitatu,kimoja master bedroom,jiko,sebule,stoo,imeunganishwa na Solar power kama dharura endapo umeme utakatika,hakikadhalika kuna DSTV,full times na master bed room INA AC.
Nyumba ndogo INA vyumba viwili na sebule(ghorofa moja) na vyoo 2,na bafuninkuna bathtub.
Hizo nyumba mbili zinajitegemea ila sana share geti la kuingilia tu.
Kodi ni laki tano kwa mwezi na inatakiwa kodi isipungue miezi sits,plus mwezi mmoja wa DALALI.
Ikiwa unahitaji njoo PM.
Asanteni!
00b609e5671e0e4e445d882c86c246ed.jpg
 
kwa hiyo dalali anakula 500,000 faster....ya bure bureeeeeeeee...
 
sijaidharau bwana mdogo nimesema jamaa wanapiga pesa ndefu za faster faster,,
OK,sina hakika kama ninafaa kuitwa bwana mdogo wako!
Kila MTU anakula alipofungiwa,wengine wanapiga mamilioni kwa kusaini tu!
 
Heshima kwenu wakuu,
Nyumba inapangishwa Sakina,jirani na Trust St.Patrick Schools. Nyumba kubwa INA vyumba vitatu,kimoja master bedroom,jiko,sebule,stoo,imeunganishwa na Solar power kama dharura endapo umeme utakatika,hakikadhalika kuna DSTV,full times na master bed room INA AC.
Nyumba ndogo INA vyumba viwili na sebule(ghorofa moja) na vyoo 2,na bafuninkuna bathtub.
Hizo nyumba mbili zinajitegemea ila sana share geti la kuingilia tu.
Kodi ni laki tano kwa mwezi na inatakiwa kodi isipungue miezi sits,plus mwezi mmoja wa DALALI.
Ikiwa unahitaji njoo PM.
Asanteni!
00b609e5671e0e4e445d882c86c246ed.jpg
Je nikitaka nyumba kuukuu yenye Kiwanja chenye hati kwa ajili ya kununua nijipangeje?Maeneo ya hukohuko Sakina?
 
nimekusoma bwa. mdogo.. nakutakia mafanikio mema katika kutafuta mteja wa huo mjengo wa tajiri..
Unajisikia raha kuita kila MTU bwana mdogo wako,umezaliwa peke yako nn?
Ngoja niitikie tu,yaishe maana hakuna namna!
 
Back
Top Bottom