Unataka kununua chochote from Turkey?

Babsap

Member
Jan 4, 2017
17
19
Salam ndugu zangu. Je unahitaji chochote kutoka Uturuki? Basi usisite kuwasiliana nami ninaweza kukusaidia. Kwa sasa nipo Uturuki nitarudi nchini baada ya two weeks.

Natanguliza shukrani.
 
Nadhani ungeweka mawasiliano binafsi uwapo huko uturuki...
 
Salam ndugu zangu. Je unahitaji chochote kutoka Uturuki? Basi usisite kuwasiliana nami ninaweza kukusaidia. Kwa sasa nipo Uturuki nitarudi nchini baada ya two weeks.

Natanguliza shukrani.
Mkuu karibu Sana Bongo nadhani kwa upande WA nguo Uturuki Iko poa nitakupm basi
 
Salam ndugu zangu. Je unahitaji chochote kutoka Uturuki? Basi usisite kuwasiliana nami ninaweza kukusaidia. Kwa sasa nipo Uturuki nitarudi nchini baada ya two weeks.

Natanguliza shukrani.

Niletee zawadi
 
Back
Top Bottom