SAMSUNG GALAXY NOTE 4 (brand new)

manizzle

JF-Expert Member
Apr 29, 2015
3,436
2,000
Hivi hizi simu note 4 mbona matoleo yake yashaisha madukani wewe unazipatia wapi? Mana kiwandani hawaproduce tena. Tena nilikua nauliza note 5 nikaambiwa hazitoki tena hata madukani hamna
 
lucious_lyon

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
380
500
Hivi hizi simu note 4 mbona matoleo yake yashaisha madukani wewe unazipatia wapi? Mana kiwandani hawaproduce tena. Tena nilikua nauliza note 5 nikaambiwa hazitoki tena hata madukani hamna
NOTE 4 NOTE 5 ZIPO. Maduka mangap ulizunguka ukaambiwa hivyo/ mkoa gani?
 
rubii

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
11,465
2,000
Hivi hizi simu note 4 mbona matoleo yake yashaisha madukani wewe unazipatia wapi? Mana kiwandani hawaproduce tena. Tena nilikua nauliza note 5 nikaambiwa hazitoki tena hata madukani hamna

Ni kweli mkuu Maduka ya mawakala halali wa Samsung hizi simu hazipatikani na hata ukipata hutaipata kwa hiyo laki 4
 
manizzle

JF-Expert Member
Apr 29, 2015
3,436
2,000
Ni kweli mkuu Maduka ya mawakala halali wa Samsung hizi simu hazipatikani na hata ukipata hutaipata kwa hiyo laki 4
Rubii afadhali umenisaidia, wabongo tunapigwa sana kwa kutokujua full information kuhusu kitu fulani. Sasa jamaa ananilazimisha eti we nunua badala ya kujibu swali. Wenzetu mawakala nnchi za wenzetu wanakuambia kabisa hazitengenezwi tena. Sasa muuzaji atuambie hiyo yake ni ya nchi gani au used kaivisha cover mpya?
 
rubii

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
11,465
2,000
Rubii afadhali umenisaidia, wabongo tunapigwa sana kwa kutokujua full information kuhusu kitu fulani. Sasa jamaa ananilazimisha eti we nunua badala ya kujibu swali. Wenzetu mawakala nnchi za wenzetu wanakuambia kabisa hazitengenezwi tena. Sasa muuzaji atuambie hiyo yake ni ya nchi gani au used kaivisha cover mpya?

Yawezekana ni toleo la nchi nyingine
 
Log-out

Senior Member
Jun 6, 2017
178
250
Rubii afadhali umenisaidia, wabongo tunapigwa sana kwa kutokujua full information kuhusu kitu fulani. Sasa jamaa ananilazimisha eti we nunua badala ya kujibu swali. Wenzetu mawakala nnchi za wenzetu wanakuambia kabisa hazitengenezwi tena. Sasa muuzaji atuambie hiyo yake ni ya nchi gani au used kaivisha cover mpya?
A series ndo mbadala wa NOTE series lakini haimaanishi kama kwenye maduka ya samsung/wakala hazipo na kiwandani hazitoki basi maduka mengine waliochukua mzigo mwingi wasiuze labda kampuni iseme zina tatizo zisiuzwe.
 
The Proudly African

Senior Member
Jun 22, 2017
139
250
Hivi hizi simu note 4 mbona matoleo yake yashaisha madukani wewe unazipatia wapi? Mana kiwandani hawaproduce tena. Tena nilikua nauliza note 5 nikaambiwa hazitoki tena hata madukani hamna
Mkuu mbona hata Note 3 zipo madukani bado... and So far Note 3 ni brand bora sana ya Samsung..
 
rubii

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
11,465
2,000
A series ndo mbadala wa NOTE series lakini haimaanishi kama kwenye maduka ya samsung/wakala hazipo na kiwandani hazitoki basi maduka mengine waliochukua mzigo mwingi wasiuze labda kampuni iseme zina tatizo zisiuzwe.

Maduka mengine walichukua mzigo mwingi waje wauze kwa bei ya kutupa??
Simu ya laki nane auze kwa laki4 baada ya simu kuwa adimu sokoni?
 
manizzle

JF-Expert Member
Apr 29, 2015
3,436
2,000
A series ndo mbadala wa NOTE series lakini haimaanishi kama kwenye maduka ya samsung/wakala hazipo na kiwandani hazitoki basi maduka mengine waliochukua mzigo mwingi wasiuze labda kampuni iseme zina tatizo zisiuzwe.
Jinsi ninavyojua huwa zinarudishwa kwa mawakala then kiwandani lakini madukani hutazikuta zikiuzwa labda used
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom