Ngozi Joram
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 662
- 546
Wakuu habari zenu,natumai hamjambo. Naomba kujua mwenye dondoo kuhusu soko la maziwa fresh. Nina chanzo cha kuaminika kusupply kati ya lita 80 hai 100 k2a siku
Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app