Habari zenu Wakuu.
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji kuku aina Chotara majike yanayokaribia kutaga idadi 10. Nataka kuanza ufugaji. Kwa yeyote anayeuza tafadhali aniPM na bei tufanye...
Make : Honda
Model : Edix
Mileage : 132,000km
Engine size: 1990cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
M/Year : 2006
Doors : 4
Seats : 5...
Line za wakala zinauzwa
Tigopesa 185000
Mpesa 150000
Airtel 95000
Mashine ya selcome 450000 tu
Zipo active ni kuanza kazi tu na zinafanya kazi popote ndani ya tz
0621612009
habari wakuu ningeomba nijue bei ya kopo za kuuzia juice zile disposable kwa dar bei ya jumla ni shngapi na bei ya take away za kuwekea chakula zile zenye rangi ya silva mfuniko wake kwa ndan...
Habari ndugu zangu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mi ni mfanyakazi wa tanga fresh naish tanga,
Ila nina ofisi ya TIGO PESA, M PESA, MAX MALIPO, AIRTEL MONEY NA HALOPESA.
Ofisi ipo...
Make : Toyota
Model : Altezza
Mileage :150,000km
Engine size: 2,000cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Manual
M/Year : 2003
Doors : 4
Seats : 5...
Jipatie domain name ya .com kwa bei ya Tsh 10,000/= ka mwaka
Unaweza sajili nyingi iwezekanavyo.
Tembelea link hii hapa ili kusajili domain yako.
domain name offer
Wakuu habari za wakati huu,
Kuna nyumba napangisha maeneo ya mbezi msakuzi, njia ya kwenda mpigi magohe.
Nyumba ina sifa zifuatazo
-Vyumba vitatu, kimoja master
-Public toilet
-Gypsum board...
Wakuu habar zenu! Ninahitaji kuchukua mzgo wa nguo kitoka uganda niko dodoma ili nifanye biashara ya nguo! Msaada wa namna na taratibu za kufata hapo ili kufanikisha isue yangu hii' passport ninayo!
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key) Kwa magari madogo na makubwa eg. TOYOTA,VW,BMW,FORD, Benz, Iveco, Scania nk...
Habari ya siku kuu wadau. Naomba simu hizo hapo juu. Niko na offa ya laki Moja tu 100000
. Kama simu aina hio angalau Moja yupo ipo njoo faster Mbagala tuzichange. Please usichelewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.