Nahitaji mtu anayefanya kazi supermarkets

TAJIRI MSOMI

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
481
497
Habari Wakuu,

Kuna project nafanya kuhusiana na Supermarkets hapa Dar Es Salaam, Nahitaji mtu ambaye anafanya kazi Supermarkets za hapa Dar es Salaam hasa Hizi hapa,
  • TSN
  • Village Supermarkets
  • Rafiki Mini Supermarket
  • Imalaseko
  • Mek One
  • Shop N Save
Project naifanya inamalipo, kwahio kwa kazi nitakayokupatia unahitaji uwe na camera nzuri, nitakulipa vema tu,Njoo PM tuongee vema.
 
Kweli mkuu naona hakuna anayefanya huko

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom