Washing mashine for sale

Washing mashine for sale

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,747
e848c5211ca65dfbb3b211d6924e8b3b.jpg

167e64524094871d254ec07516b94b55.jpg

Hot point
Used miez.miwili imetumika kufua mara 4.
Kg 7 inafua na kukamua na kukausha.
Vyote vinaweza fanyika kwa wakat mmoja.
Bei 380,000

Sent from my SO-01F using JamiiForums mobile app
 
4cf6eab20e327a3c11339decc0599c87.jpg

Sent from my SO-01F using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana ni nzuri mkuu, kwanini unauza?
 
Mchumba wangu haitumii yeye anapenda kitu cha manual eti anaona inamzngua tu

Sent from my SO-01F using JamiiForums mobile app
Hahahaha kuna wakati utafika atahitaji tu esp. Uko na busy life, kazi,watoto, na hakuna mdada(msaidizi).
 
Hapo nitanunua nyingine hata hizo mara nne nimeitumia mwenyewe kufua

Sent from my SO-01F using JamiiForums mobile app
 
Mchumba wangu haitumii yeye anapenda kitu cha manual eti anaona inamzngua tu

Sent from my SO-01F using JamiiForums mobile app

Sio jibu mchumba haitaki kwani tayari uko umemwoa? huenda hajui matumizzi yake mfundishe ataipenda sana.. niliwahi kuwa na jirani akawa ananimbia hapendi jiko la gas.. nikajagundua kumbe hajui kulitumia alivyojua tuu hakuwahi tena kutumia mkaa hata kwa kuchemsha harage
 
Nishamfundisha lakini yeye anapenda kitu cha manula so kwakuwa haina kazi nafasi inapokaa nahiyaji kwa matumizi mengine maa nina limited space

Back
Top Bottom