leo zimekubali mkuuLeo umeamua kuweka picha, natoka hapa njoo leo kaweka picha
Ndio maana nimeuita mteja wa jana aliyeomba picha aje sasa aone bidhaa, natoka hapa ukuje hukuleo zimekubali mkuu
nashukuru mkuuNdio maana nimeuita mteja wa jana aliyeomba picha aje sasa aone bidhaa, natoka hapa ukuje huku
poa mkuu, karibu sana mwambie aje na usafiri kabisa mimi nitamuuzia bei ya kutupa, vyombo nitampatia freeNgoja nimtonye. Mwanangu viko poa
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
hapana mkuu kama unavyo viona kwenye picha ndivyo vilivyo kitanda safi miguu ya tembo, meza, viti, kochi, kapeti, feni,shelf ndogo ya vitabu vipo katika hali nzuri mkuuSema ikionekana viko tofautoti je
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
nimepata fursa mkoani mkuu so nitarudi kuja kuwasalimia tuuNaona watu mnapakimbia Dar.
-Ndumilakuwili-
Pamoja jembe.nimepata fursa mkoani mkuu so nitarudi kuja kuwasalimia tuu
Shikamoo yake "aliyeko likizoni" hahahahahahaahhaNaona watu mnapakimbia Dar.
-Ndumilakuwili-
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shikamoo yake "aliyeko likizoni" hahahahahahaahha
Tabata ipi?nimepata fursa mkoani mkuu so nitarudi kuja kuwasalimia tuu
nipo tabata baracuda mkuu, karibu sanamkuu upo wapi??
[emoji3][emoji3]Shikamoo yake "aliyeko likizoni" hahahahahahaahha