Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu!
Nahitaji Laptop iwe na hard disc kubwa kuanzia 320Gb Ila processor na ram iwe yoyote.sijangui kwa upande wa pro na ram.
N:B
Iwe kdg Toleo...
Nianuza mbwa jamii YA pet... Kuna wawili majike wana miezi 7 na wengine wadogo wa miezi 2 vijike vipo 2 na vidume 3 karibuni tabata.... Bei ni maelewano wameshapatiwa chanjo YA pavo, Vitamini na...
CC 1990, AB ABS AW FOG NV, 4WD
Total cost Tsh 11Mil pamoja na ushuru
Agiza nami kwa:
call/whatsapp: +255715471659
e:hamoudautocom@gmail.com
...Wakati wote ni wakati wa kazi...
Habari ya jioni wadau kuna Kiwanja kipo barabara ya kwenda goba mita 300 kitoka lami kipo vizuri sana umeme na maji yapo bei mil 25 ameanzia njoo uwone Kiwanja ukubwa ni 25 Kwa 30 karibuni #...
Salamu salama... Humu ndani
Napangisha nyumba na sebule yake ambayo. Ni master yani Chumba chenye choo ndani na sebule yake pamoja na jiko vyote vipo ndani , ipo maeneo ya mwenge karibu kabisa na...
Pata vifaranga bora kabisa aina ya Chotara vya kuanzia wiki 1 na kuendelea kwa ajili ya utagaji bora wa mayai ya kienyeji.
Pia tunapokea oda za mayai kwa ajili ya kutotolesha, mashine zetu zina...
Ubia wa kibiashara (Women Saloon)
Anatafutwa mtu yeyote ambaye yupo tayari kuingia ubia wa kibiashara Katika biashara ya Saloon ipo njia panda ya chuo
Sifa zinazohitajika.
1. Awe mwenye uwezo...
Kama Tangazo linavyosomeka hapo, nauza laptop yangu 450,000/= yenye specifications zifuatazo :-
Processor Core-i3
RAM 4GB
HARD DISK 250 GB,
laptop ni nzima kabisa haina tatizo lolote unaruhusiwa...
[emoji574] [emoji574] AUGUST SALE:
12 chicken egg
automatic,
CONTACT ONLINE CUSTOMER SERVICE: whatsapp/ sms 0682662558
Sent using Jamii Forums mobile app
Color Beige, CC 1490, AB ABS NV P-DOOR, 42,000km
Total cost Tsh 9.8Mil pamoja na ushuru
Agiza nami kwa:
call/whatsapp: +255715471659
e:hamoudautocom@gmail.com
...Wakati wote ni wakati wa kazi...
Ndugu zanguni naomba msaada, kuna dawa nimekuwa nikiitafuta madukani bila mafanikio, kipindi cha zamani ilikuwa inaitwa 'Salimia' kwa yeyote anayejua zinapopatikana anijulishe tafadhari, au dawa...
FURSA KUBWA KWA WATANZANIA!! AIM GLOBAL...
Je ungependa kuwa na kipato cha ziada? Je unatafuta ajira ya kufanya kwa mda wako wa ziada au ya kudumu ? Tunatafuta watu wanaoweza kujituma wenyewe na...