Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wadau.. Nauza Fuso fighter tandem ipo kwenye Hali nzuri. Engine 6D16 Ina Turbo Aliye interested Anitafute kwenye namba hii 0719065116 Bei 50M TSh. Pungufu tunaongea.
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Ninahitaji stidio monitors zenye ubora na bei nafuu.Mwenye nazo anicheki tufanye biashara lakini zisiwe Alesis.
0 Reactions
1 Replies
703 Views
za kwenu??? msaada please,hizi fishnet ankle socks kwa anaejua zinauzwa wapi kwa Dar??? au maduka ambayo naweza pata.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Heshima mbele wana JF. Natafuta chumba self na sebule pia Jiko. Maeneo:Mwenge,Kijitonyama,Makumbusho na hata Mikocheni. Offer:Minimum Tshs.200,000/= Kama ipo ni-PM,nitakupigia . Asante.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Incubators (Mashine za kisasa za kutotolesha vifaranga) zinapatikana. Zinatumia umeme, Solar, Betri za gari na Generator. Zinadumu na zina warranty. Ni rahisi kutumia na zina asilimia kubwa ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
OFAA OFAAA OFAAAAA Kama wewe ni masanii wa muuziki wa aina yoyote na umeshatengeneza audio yako unataka ku shoot video nzuri na yenye kiwango cha juu kulingana na soko la Africa Mashariki kwa...
0 Reactions
1 Replies
642 Views
Ni simu aina ya Sony Experia inauzwa kwa bei ya shilingi 200,000/= simu iko katika hali nzuri kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hii hapa 0713620684.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau natafuta wanunuzi wa Pilipili Mbuzi ziko SHAMBANI tayari kuvunwa idea na soko kiko inipe.
0 Reactions
30 Replies
11K Views
Husika na kichwa hapo juu, Nauza Tecno C8 bei 190000/=Tshs maongezi yanaruhusiwa nipo Tanga Majengo msikitini hapa kwa mawasiliano zaidi nichek 0625697394 thA God thA bubbs!!
0 Reactions
4 Replies
837 Views
Habari wana JF, Mimi nimeanzisha bakery yangu, kwa sasa nina oven ndogo tu,kuna mtu anaweza kunifahamisha wapi naweza pata oven ya kuokea mikate ambayo itakuwa na uwezo wa kuoka hata mikate 100...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
MS TCDC inakaribisha maombi ya kujiunga na shahada ya kwanza katika programu ya Governance and Development. Shahada hii ni ya miaka mitatu ambayo inatolewa chuoni MS TCDC- Usa River-Arusha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waungwana hamjambo? Nahitaji jezi original za Liverpool zile mpya kama unazo njoo tuzngumze Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
648 Views
Nauza mashine ya max malipo haina tatizo Lolote bei 500,000 kwa picha na maelezo inbox Au piga 0752669640
1 Reactions
1 Replies
6K Views
USED,KWA BUDJECT YA 200K.. ALIYENAYO ANIPM AU CMMENT HAPA TUPGE BIASHARA
1 Reactions
0 Replies
776 Views
Wadau, Kuna saa ya smart watch nililetea kibaya wakati inapakiwa betri haikuwa imewekwa msaada kwa yeyote anayejua naweza pata nimezunguka kwa hapa Posta nimekosa. Msaada wenu. Picha zifuatazo
0 Reactions
2 Replies
842 Views
Nauza simu yangu itel s11,android 6.0,camera 8mp back,5mp front,internal memory 8gb kwa 100,000 tu...kimetumika kiasi na haina shida wala mchubuko. 0714-796778....picha inashindwa Ku upload njoo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
....Je unapata ugumu kutangaza bidhaa au biashara yako ili iwafikie watu wengi ⁉ unatangaza lakini haupati matokeo makubwa katika biashara yako unatangaza biashara lakini haupati wateja wa uhakika...
0 Reactions
0 Replies
708 Views
*Anga handbag design college; mafunzo ya kushona mikoba ya kina mama na kina baba* Anga handbag design college in chuo kinachotoa mafynzo ya kushona mikoba ya ngozi, na vitambaa.chuo kipo morogoro...
2 Reactions
7 Replies
8K Views
Jipatie samani za majumbani za kisasa na za kupendezwa zinazotengenezwa hapahapa nchini Tanzania na wajasiriamali wazalendo Baez Enterprises, tunapatikana pia katika mitandao ya kijamii Instagram...
0 Reactions
82 Replies
28K Views
nashida ya kupata account instagram anayeuza anipm
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom