Dawa inayofanana na 'Salimia'

Dawa inayofanana na 'Salimia'

Secret Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
1,857
Reaction score
2,089
Ndugu zanguni naomba msaada, kuna dawa nimekuwa nikiitafuta madukani bila mafanikio, kipindi cha zamani ilikuwa inaitwa 'Salimia' kwa yeyote anayejua zinapopatikana anijulishe tafadhari, au dawa inayofanana na hiyo.
 
Sidhani kama salimia bado mtaani, ipo dawa moja hivi ya tube ila jina lake limenitoka ni nzuri pia ngoja wadau waje watakusaidia.
 
Ndugu zanguni naomba msaada, kuna dawa nimekuwa nikiitafuta madukani bila mafanikio, kipindi cha zamani ilikuwa inaitwa 'Salimia' kwa yeyote anayejua zinapopatikana anijulishe tafadhari, au dawa inayofanana na hiyo.
hii dawa imekua adimu sana miaka ya karibuni...kama lengo ni kuchua jaribu VOLINI ni nzuri pia.
 
Ndugu zanguni naomba msaada, kuna dawa nimekuwa nikiitafuta madukani bila mafanikio, kipindi cha zamani ilikuwa inaitwa 'Salimia' kwa yeyote anayejua zinapopatikana anijulishe tafadhari, au dawa inayofanana na hiyo.
Mkuu hiyo haipatikani tena siku hizi...
Kama ni mahali pa kuchua tafuta dawa inaitwa FASTUM Gel ni the best.
Au hata VIVIAN Gel au VOLIN.
 
Back
Top Bottom