Nauza mahindi sh 590 kwa kilo, yapo Dar

Nauza mahindi sh 590 kwa kilo, yapo Dar

Yaani siku hizi watu tunakimbilia kuwa wa kwanza kulipply tu

Tuyaache kama yalivyo
 
Piga 0752773839 yuko Arusha anahitaji mahindi, bei yake Tshs. 600/= pole kwa msoto wa biashara Mkuu naamin mdau mwenye hiyo namba atachukua mzigo, lkn pia yumo humu jukwaaani soon anaweza kutokea.
 
Samahani naomba kuuliza, Debe moja lina kilo ngapi? Maana ningependa nichukue debe
 
Umeingia choo cha kike mkuu, wanaume wa Dar ni vinara wa kula chips yai na Sausage sasa hayo mahindi unataka umuuzie nani kwa mfano!!
 
Back
Top Bottom