Mwenye oda ya tourmaline

Mwenye oda ya tourmaline

gelevahekejr

Senior Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
120
Reaction score
16
Ninaaina ya tourmaline ambayo kwa nje nyeusi uki piga tochi ni green and yellow mwenye oda tuwasiane kupitia pm
 
Kama huyajui madini ni vema uwe mchimbaji kwanza. Ukianza na ununuzi utauziwa madini feki. Soko kuu la madini kwa Tanzania ni Arusha. Arusha kuna maduka mengi ikifuatiwa na Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia kama si mzoefu, unauziwa madini ya thamani ndogo tu kwa bei ya kupaa sana!
 
Back
Top Bottom