Amani ya Mungu iwe Nanyi
wakuu nina fedha za kizamani nauza kwa yeyote mdau wa hili tuwasiliane(pm).
Sarafu ni za pre na post Uhuru kwa maana za Malkia na Kambarage, pia msaada wa soko kwa...
Kuanzia mwez wa kumi ntakuwa na bidhaa izo hapo kwa atakayeitaj anaweza niona kwa number zifuatazo 0718040208 free delivery kwa mtu atakayechukua kuanzia kg 1000 kwa bidhaa ya nyanya na mboga...
Wakuu habar,
Nauza simu aina ya TECNO W4, simu ipo katika hali nzuri haina tatizo lolote na imetumika miez 4 tu.
Nauza kwa sababu nataka nipate pesa ya kodi ya chumba ya miez mitatu.
Bei ni Tsh...
Solar water heater zenye ubora wa kudumu kwa miaka zaidi ya 20 katika ubora ule ule.
Okoa bill ya umeme kwa kupata maji ya moto kwa kutumia jua. Unapaa maji ya moto usiku na mchana.
Tunafunga...
Imetumika wiki moja tu rist zote zipo box lipo tatoa earphone na chaja tu rangi gold, bei 220000 tu, napatikana DSM 0683666702 nicheck seriously buyer
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau habari ya mchana, natafuta laptop, ofa yangu laki 2. Kama unayo na nzima basi nipm; aina yoyote na ukubwa wowote ilmradi tu iwe nzima. Hard disc iwe kuanzia 80 na ram angalau 2
Baada ya kuitumia kwa muda machine ya EFD aina ya eXpert SX ya Bulgaria imeanza kugoma kutoa risiti yenye tarehe ya manunuzi,tumeirekebisha sana kwa dealer wetu lakin imeshindikana
Sent using...
Kusolve ishu ndogo ndogo za Technology na kupata fafanuzi za maswali uliyonayo tembelea blog yetu ya techedutanzania.blogspot.com
blog hii itakua active na pale unapokua na swali lolote waweza...
Niambie kama umewahi kukutana na hali kama hii;
Ndugu au rafiki yako wa karibu, ambaye mnaheshimiana sana na kushirikiana mambo mengi, anakupigia simu. Anakuambia kuna fursa nzuri sana ya...
Kiwanja kinauzwa
Eneo:Moshi,eneo la shabaha
Vipimo:20x20
Kupimwa:Bado
Bei:5.5M (inazungumzika)
Huduma:Maji yapo na umeme pia upo bt hujaunganishwa
Contacts:0768050062