Good Neighbour
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 942
- 899
Shamba linauzwa liko maeneo ya mzani(nala) dodoma mjini umbali usiozidi kilomita 14 toka town centre na kilomita isiyozidi 1 toka barabara ya lami iendayo singida/mwanza/tabora
Eneo liko karibu na hostel za chuo kipya cha biashara cha NGAGEYA na si mbali na eneo waarabu(shabiby) wanapotaka kujenga sheli.hati yake ni ya kijiji
Bei ya eka moja ni milioni 2.5,na bei ya lote(eka 4) ni milioni 10.punguzo na maelewano yapo,unaweza ni PM
Ama ntafute kupitia 0767833496
stevenmasaka@gmail.com