Madini

Madini

mafuta

Member
Joined
Nov 12, 2014
Posts
52
Reaction score
29
Wakuu hii ni aina gani ya madini
20170809_180325.jpeg
20170809_175552.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh..jaribu kumuuliza prof.mruma hapo nimestak..
 
Nafikiri swali zuri lingekuwa hili ni aina gani ya jiwe ambalo labda linaweza kubeba asilimia flan ya madini, japo hapo microscope yani darubin inahitajika ili kufaham kwa uhakika zaid,
ila ngoja waje.............
 
Mbona kama boga la kiangazi?

sent from kuzimu
 
Back
Top Bottom