WAREHOUSE FOR RENT
(KILIMO WAREHOUSE)
Location;
Yombo vituka area,behind Tazara Railway station,Dar es salaam.
7.7 km from Dar es salaam harbour port
6.6 from Dar es salaam international airport...
Habari wa pendwa me nikijana nilie hitimu kidato cha nne katika sekondari ya jitegemee jkt sekondari mwaka juzi naombeni mwenye kuelewa ani saidie jinsi ya kupata nafasi na kuansika barua.
Habari wadau, Tuna mashine mpya za water pump, Generator, na brush cutter zote kutoka kampuni ya Honda. kwa wale wadau ambao walikuwa wanazitafuta mali hizi basi nawaambia zimebaki chache stock na...
Habari,
Nauza askirimu za ubuyu kwa moja moja na jumla kwa wale wasio na muda wa kutengeneza, bei nafuu utachagua wewe uuze bei gani.
Ni tamu na laini pia zimetengenezwa kwenye mazingira masafi...
Wadau, nahitaji shamba la kununua kuanzia hekari 2-5 au zaidi kama bei itakuwa nzuri.
Napendelea hasa maeneo ya kuanzia Vikindu, Mkuranga, mpaka Kimanzichana, lakini kama nitapata maeneo mengine...
Habarini! Mimi nina iphone 6 plus (6+) mpyaa kabisaa nimenunua Jana sijaanza kuitumia! Ila ni 16GB mimi nina Hitaji kufanya mabadilishano na mtu na Inapodi Pesa nitamuongeza
Mabadirishano yawe...
habarini ndugu zangu,
siku chache zilizopita kuna mtu alitoa tangazo la kuuza line za tigo, m, na aitel money, please naomba ujitokeze, nahc cjaiona post yako. nina shida na wewe mpndwa
by
Tamalisa
Wakuu msaada kama upo arusha na unajua sehemu inapouzwa Asali mbichi, nahitaji maana nasikia ni dawa ya nguvu za kiume, pia kama kuna dawa msaada wenu jamani ni miaka 4 sasa sijasex na NAHISI...
Wakuu, natafuta gari tajwa hapo juu, masharti yangu ni machache Tu,
1. Gari iwe katika hali nzuri.
2.Iwe namba C au D kabisa.
3. Iwe ya milango 5
4. Iwe Dar au mikoa ya karibu na Dar.
Bajeti...
Husika na kichwa cha habari apo juuu mimi ni fundi mwenye uzoefu ktk kazi yangu,Na pauwa na kuskimu pia na funga gysum kwa urembo mzui namba napatikana Dar es salaam maeneo Ukonga...
Nauza pump ya maji ambayo nimeitumia mda mfupi.
Sababu za kuuza ni kwamba generator yangu ni ndogo kuweza ku suport 1. 5hp
Nipo chanika dar.
Immersed pump
1. 5HP
Made from Italy.
Bei 280...
Tunakuletea offer kabambe kama ifuatavyo
kwa Gharama ya ONLY TZS 30,000/=
Unapata Website Hosting kwa mwaka mzima!
Free .com domain name (.com)
Offer ni ya mda mchache
PACKAGE YA HOSTING INA...
Kwa yeyote anejua au aneweza kunipatia chumba kizuri kwa ajili ya kijana anaesoma IFM, kiwe maeneo salama na karibu na usafiri nitashukuru sana.
Bajeti yangu kuanzia elfu 50 mpaka 70 kutegemea na...