Wakuu natangaza dau kwa yeyote anayeweza kunipatia kitabu cha MASHAIRI YA SAADAN ABDUL KANDORO nitamlipa laki mbili taslmu shilingi za kitanzania papo hapo.
Nipo mwananyamala Dar.
Asanteni sana...
Habari zenu wana JF.
Mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji.
Kwa wale wenye uhitaji wa mayai ya kienyeji kwa ajili ya kutamilisha na matumizi mengine ya nyumbani yanapatikana kwa bei ya shilingi...
Heshima kwenu wana bodi,
Nataka kufungua biashara ya kuuza juice sasa natafuta friji ambayo inauwezo wa kuhifadhi lita 40 kwa pamoja. Je naweza pata friji lenye uwezo wa huhifadhi kiwango hicho...
Wandugu kama tangazo linavyosomeka. Nahitaji laini kama yupo mwenye nazo au ziada aniuzie. Nimehangaika naambiwa kwa sasa hazipo tena kwa mawakala. Mwenye nayo ani-pm au anipe namba kwa kucomment...
Uongozi wa kituo cha Elimu Huria cha Excellent Training Center kilichopo Upanga Mashariki karibu na Regency hospital tunawakaribisha wazazi na walezi kuleta vijana wao watakao hitimu Elimu ya...
Wakuu mlioko mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha tunapenda kuwafahamisha sasa unaweza safirisha ama kununua kitu chochote toka Dar kupitia Kaskazini cargo transportation.
Iwe ni...
Kama unahitaji la kupanga nyumba Arusha mjini kisongo unaweza kuwasiliana na mimi inbox
Ina vyumba jumla vitano
Ukuta
Maelezo mengine kwa wale walio serious njoo inbox
Indian fashion designer Manish Arora relaxing in Etihad Airways’ premium lounge at Paris Charles de Gaulle Airport ahead of his flight to Abu Dhabi and onwards to Delhi.
Globally renowned...
Wanajukwaaa heshima kwenu.
Namsaka mtaalamu wa kuandika CV itakayoshawishi kufanya kazi kwenye mashirika tofauti japo basically ni Mwalimu.
Sasa kwa kuwa walimu wa sanaa hatuna nafasi tena hapa...
Kama maelezo yalivyojieleza hapo juu, offer yangu ni Tzs 200,000/= lazima iwe kwenye hali nzuri, nipo songea but ukiwa Dar ntamtumia mtu aicheki
Mawasiliano 0712752544 wassp. pia
Nauza kiwanja changu maeneo ya Kigamboni Malimbika. Eneo Nizuri sana kilometa 1 kutoka barabara ya lami. Ukubwa ni heka 1 Umeme wa Tanesco na bomba la maji vinapita jirani barabarani bei yake ni...
Engine ya Toyota passo used inauzwa, ipo vizuri, four cylinders.
Kama unahitaji, tuwasiliane inbox, SERIOUS BUYERS.
Bei laki 800,000/Tshs only.
Nawakilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongozi wa kituo cha Elimu Huria cha Excellent Training Center kilichopo Upanga Mashariki karibu na Regency hospital tunawakaribisha wazazi na walezi kuleta vijana wao watakao hitimu Elimu ya...
Sheets To_Go ni mashuka kutoka Kampala-Uganda,,ni pure cotton(pamba 100%)
8*8 @80000(shuka 2 na foronya 4)
Jumla kuanzia pea 10
8*8 @65000
Kwa waliopo Dar gharama ya usafiri juu ya mteja,,na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.