TheBuilder
JF-Expert Member
- Apr 21, 2014
- 237
- 212
Wadau, nahitaji shamba la kununua kuanzia hekari 2-5 au zaidi kama bei itakuwa nzuri.
Napendelea hasa maeneo ya kuanzia Vikindu, Mkuranga, mpaka Kimanzichana, lakini kama nitapata maeneo mengine tofauti na hayo niliyoyataja siyo mbaya tutaangalia uwezekano lakini target yangu ni hayo maeneo.
Mwisho:
Ningependa zaidi nifanye biashara na mwenye mali kuliko dalali.
Aksante sana kwa ushirikiano wenu Wadau.