abdalah Kelenge
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 266
- 203
Wakuu msaada kama upo arusha na unajua sehemu inapouzwa Asali mbichi, nahitaji maana nasikia ni dawa ya nguvu za kiume, pia kama kuna dawa msaada wenu jamani ni miaka 4 sasa sijasex na NAHISI kutokuoa sababu ya tatizo naomba ushauri jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app