Msaada wa jkt/jwtz

Msaada wa jkt/jwtz

mathani

Member
Joined
Aug 6, 2017
Posts
25
Reaction score
6
Habari wa pendwa me nikijana nilie hitimu kidato cha nne katika sekondari ya jitegemee jkt sekondari mwaka juzi naombeni mwenye kuelewa ani saidie jinsi ya kupata nafasi na kuansika barua.
 
kuandika barua google ili upate mfano wa barua ambao unaitumia
 
Kuna kijana anataka kwenda jeshini, jana nikamwambia unataka kwenda jeshini uko tayari kufa vita ikitokea? Strange akajibu Tanzani kuna amani hakuna vita. Nikamwambia Afghanistan wanahitaji wanajeshi nikuunganishe? Alikimbia sijamuona. Maana yake nini? Nakwenda jeshini kwa vile TZ hakuna vita...thinking ya vijana wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mshahara mkuu usisahau na misifa ya kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom