Labdjainase
Member
- Jun 11, 2017
- 17
- 18
Habari,
Nauza askirimu za ubuyu kwa moja moja na jumla kwa wale wasio na muda wa kutengeneza, bei nafuu utachagua wewe uuze bei gani.
Ni tamu na laini pia zimetengenezwa kwenye mazingira masafi kuna pure ubuyu bila flavour, vanilla flavour na passion flavour pia kuna zenye rangi na bila rangi kwa wenye kisukari zipo sugar free.
Karibuni sana.