RANGERS MADISH; tunapenda kuwatangazia wateja wetu wa azamtv kuwa kuanzia tar 1.9.2017 kutakua na mabadiriko ya vifurushi kama ifuatavyo..
Azam pure 18000/=
Azam plus 23000/=
Azam play 28000/=...
Kwa mahitaji ya mageti, grills, vitanda vya chuma, fence za chuma, fenicha za garden *office partitions* , *Frosted glass* and *Tinted glass* Karibuni Autoguru workshop
0688767668//0715967107...
Kwa mahitaji ya *office partitions* , *Frosted glass* and *Tinted glass* Karibuni Autoguru workshop
0688767668//0715967107
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii, nauza garlic paste, kitunguu swaumu kilichosindikwa na hutumika kama kitunguu kingine kwa ajili ya kupikia,massage, scrubbing, steaming nk
100% kitunguu swaumu
Jumla 3500 kuanzia PC 20...
Kwa wenye kuhitaji nyumba au chumba cha kupanga maeneo ya kimara basi hapa ndio mahala salama, njoo ukutane na watu wakuaminika upewe kinachokufaa.
Sema unahitaji nyumba yenye sifa gani, hapa...
Habari, nauza shamba langu heka 100 zipo nyamaronda kijiji cha mkola, heka zote nauza kwa shilling 30,000,000/= Hakuna punguzo. Shamba lilikuwa safi ila sasa majani yameota. Linafaa kwa kilimo...
Kutokana na Kabati yangu kukaa kwa muda mrefu kwa fundi mpk nilipoforce kukamilishwa Matokeo yake ilibeba mchwa ambao wamebungua mbao za juu zote. Hivyo kwa Heshima na taadhima mwenye kujua dawa...