Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,700
Kwa wenye kuhitaji nyumba au chumba cha kupanga maeneo ya kimara basi hapa ndio mahala salama, njoo ukutane na watu wakuaminika upewe kinachokufaa.
Sema unahitaji nyumba yenye sifa gani, hapa nitaweka Basho.
1:Nyumba nzima ya vyumba 3,maji 24hrs, umeme luku yakujitegemea, jiko na choo. Ni mwendo wa dakika 6 tu kutoka stendi. Kodi ni 250000/=