Mastamind
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,318
- 845
Kutokana na Kabati yangu kukaa kwa muda mrefu kwa fundi mpk nilipoforce kukamilishwa Matokeo yake ilibeba mchwa ambao wamebungua mbao za juu zote. Hivyo kwa Heshima na taadhima mwenye kujua dawa ya kuua wadudu wabunguaji samani zilizotayari anisaidie kujua hiyo dawa, bei yake na inakopatikana PLZ[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app