Natafuta gari aina hii

Natafuta gari aina hii

shybubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2016
Posts
538
Reaction score
394
-Carina
-Allex au
Runix

ziwe kuanzia namba B na hali nzuri,

Uwezo wangu ni 4.5 millions cash, mwenye nayo ani Pm tuyajenge

Nipo Dar es salaam
 
213c8195e8cfb008982110a133882ec5.jpg
nipe mpunga huo chukua chuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
search google kaka utapata,
au sbt wanauza hadi mil 3 shida ni ushuru tu
 
-Carina
-Allex au
Runix

ziwe kuanzia namba B na hali nzuri,

Uwezo wangu ni 4.5 millions cash, mwenye nayo ani Pm tuyajenge

Nipo Dar es salaam

Nashukuru majibu ya thread yako yatanisaidia hata mimi kwani nina mahitaji kama yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom