umeeleza vyema mkuu,,umesaidia wengi,,salute!Gharama za kusafirisha copper kutoka Zambia mpaka Dar inategemeana na vitu vingi (sehemu inapotoka Zambia, Clearance ya upande wa Zambia, upande wa Tanzania-Tunduma etc). Kwa wastani inaweza kuwa $70-$100 kwa tani.
Ikifika Dar es salaam, inategemeana na wapi inahifadhiwa. Inaweza kuwa bandarini kabisa ama kwenye ICD flan, let say Mofed ICD. Pale kuna gharama pia ambazo unahitaji kupata quotation nzuri. Baada ya kutoka ICD baada ya kumalizana na TRA na wengine, then inaenda bandarini. Kuna gharama za transport, port charges na clearance. So kuna vitu vingi hapo kati ambavyo vitakuhitaji upate proper quotation kadiri ya wakati husika wa biashara hiyo kufanyika
Thanks a lot Big Man kwa details za kutosha!Gharama za kusafirisha copper kutoka Zambia mpaka Dar inategemeana na vitu vingi (sehemu inapotoka Zambia, Clearance ya upande wa Zambia, upande wa Tanzania-Tunduma etc). Kwa wastani inaweza kuwa $70-$100 kwa tani.
Ikifika Dar es salaam, inategemeana na wapi inahifadhiwa. Inaweza kuwa bandarini kabisa ama kwenye ICD flan, let say Mofed ICD. Pale kuna gharama pia ambazo unahitaji kupata quotation nzuri. Baada ya kutoka ICD baada ya kumalizana na TRA na wengine, then inaenda bandarini. Kuna gharama za transport, port charges na clearance. So kuna vitu vingi hapo kati ambavyo vitakuhitaji upate proper quotation kadiri ya wakati husika wa biashara hiyo kufanyika
Mkuu ulifanikisha kutoa mzigo wa copper zambia?Thanks a lot Big Man kwa details za kutosha!
Unaonekana ni mzoefu wa mambo Haya, je unajua kampuni yoyote ya Kitanzania ambayo hufanya kazi hizi!? Nahitaji kutoa Copper Zambia, sehemu moja inaitwa Copper belt.
Nilifanikisha Mkuu, japo Challenges zilikua nyingi hasa upande wa Zambia, kuna Government fake Documents kibao ambazo Seller wabaya wanakupa at the end unaenda kukutana na Mziki Boda..
Daaa $70--100$ kwa tani?mbona ni fedha kidogo sana..au kuna perjury hapa mm sijui..?