Weka picha mkuu,nipm no yako nkuonyeshe picha za ist unayotakiwa kununua..
kama uko dar uje kuiona,,nipo kinondoni studio...mimi sio dalali ni mali yangu nataka kununua uwanja
Looks like you are new in this industry, next time you plan to buy a local registered car dont look at the registration numbers.Gari IST inahitajika kuanzia namba B
Nipo Dar Es Salaam
Price ipo 5,000,000 top
Nadhani baada ya kupata hizo namba anazotaka, ndio ataangalia mengineLooks like you are new in this industry, next time you plan to buy a local registered car dont look at the registration numbers.
Angalia ubora wa engine na performance kwa ujumla. Kuna magari yana registration inaanza na D lakini ni takataka za 19xx au mapema 2000-4, kuna gari lina registration ya A lakini limetoka kiwandani 2006.
Watanzania wengi wana muelekeo huo lakini I think they are wrong.