Mkuu mm naitaji moja tu kwa matumiz ya dogo homeMkuu naomba nicheki mimi ninazo. Unahitaji ngapi..? Nipo Tokyo with Sony sasa ni wewe tu mwenyewe sema ngapi unahitaji nikushushie mzigo.!!
Mkuu PS na TV zipo ngapi? PS zimechipiwa/Modded/Jailbreaked?Unahitaji ngapi mkuu? Kuna kaka yangu anauza ofisi na hizo Ps3 na tv zake . Kama upo serious uje uzicheki .
TV ni Flat? Inch ngapi?Zipo tano na tv tano &zimechipiwa, na zina magemu kadhaa
Zinapga kaz vzur..tv inch ngapi...bei zake je????Zipo tano na tv tano &zimechipiwa, na zina magemu kadhaa
Hujanijibu mkuuNi ofisi inayofanya kazi kk, lakin tunataka kubadilisha biashara tu
Zipo za gb 250 bei yake ni laki tatu na zipo za gb 350 zinauzwa 400 mkuuHujanijibu mkuu
Okay thanks, nitakuchek soon, very soon!Zipo za gb 250 bei yake ni laki tatu na zipo za gb 350 zinauzwa 400 mkuu
OK, mkuu karibu sanaOkay thanks, nitakuchek soon, very soon!
ziko wapi? eneo gani?Zipo za gb 250 bei yake ni laki tatu na zipo za gb 350 zinauzwa 400 mkuu
Ya Gb 250 ps 3 ni sh ngapi hadi dar?Mkuu naomba nicheki mimi ninazo. Unahitaji ngapi..? Nipo Tokyo with Sony sasa ni wewe tu mwenyewe sema ngapi unahitaji nikushushie mzigo.!!
Vipi bado zipo?OK, mkuu karibu sana
Unataka??! Mi nnayo.1Vipi bado zipo?
Ipo kwenye hali nzuri? Bei gan? Taja specifics zakeU
Unataka??! Mi nnayo.1
Iko poa kabisa (sio slim lakini), ina wireless controller na game tatu...Tennis, Basketball na Mpira. Bei 250,000.Ipo kwenye hali nzuri? Bei gan? Taja specifics zake
Asante nimeshapataIko poa kabisa (sio slim lakini), ina wireless controller na game tatu...Tennis, Basketball na Mpira. Bei 250,000.