denis eliah
Member
- Aug 14, 2017
- 49
- 68
Watu wangu wa nguvu wa Zanzibar na Tanzania, nikihitaji huu usafiri used, au mpya nitaupata kwa bei ipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani zimeshuka bei?
Hata bei za dukani sizijuiKwani zimeshuka bei?
Inaenda kwenye 5M hicho makituHata bei za dukani sizijui
Duh mbona bei hivyoInaenda kwenye 5M hicho makitu
Hichi kinafaa kumchukulia wife cha kuendea sokoniMilioni tano?
Hapo si unapata mchuma kabisa hata mvua ikinyesha huloi?
Tena usawa huu,vyuma vimekaza kweli.