Habari wakuu, naomba anayejua wapi ntapata bello za nguo za watoto za mtumba grade isiyo na lonya nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda mnazi mmoja karibu na jengo la ofisi za wafanyakazi kuna wahindi weng mtaa ule ndio biashara zao ni opposite na kituo cha daladala cha magar ya kwenda gmboto na temekeHabari wakuu, naomba anayejua wapi ntapata bello za nguo za watoto za mtumba grade isiyo na lonya nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app