Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wakuu, Natafuta piki piki used aina ya boxer ,yenye sifa zifuatazo; 1.Isiwe imetumika zaidi ya mwaka 2.Bei isizidi milioni moja Simu:0713-039875
0 Reactions
1 Replies
723 Views
Wakuu natafuta Bajaj TVS iliyokatika Hali nzuri kwa anayeuza kwa Bei pouwa ani pm
0 Reactions
7 Replies
950 Views
Habar wapendwa naomba nijuzeni mbegu bora za Spinachi nifanye Bustan hapa Nyumbani. Naomba kuwasilisha Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Nahitaji Samsung s8+ demo. Offer 200k Contact 0762937396 Location mlimanicity mall Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
772 Views
Habar zenu wana jf;<br />Kuna nyumba inauzwa ipo mwananyamala B" bei yake tsh 20ml ina vyumba tisa karibu(siitaji dalali) kwa maelezo nichek 0717 550291 au PM<br /><br />Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nauza kiwanja changu maeneo ya Kigamboni Malimbika. Eneo Nizuri sana kilometa 1 kutoka barabara ya lami. Ukubwa ni heka 1 Umeme wa Tanesco na bomba la maji vinapita jirani barabarani bei yake ni...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nahitaji uwanja wa maeneo ya Goba au Kinyerezi pasiwe Bondeni, pasiwe mbali sana na barabara kuu. Ukubwa wa uwanja sq 900,(30x30), sihitaji chini ya hapo, pia kiwanja kisiwe na mgogoro wowote...
0 Reactions
4 Replies
655 Views
Nunua bidhaa kwa urahisi! Kwa wale wapenda vitu vya kijanja na kwa bei rahisi, bonyeza link hii kujiunga na mtandao wako. KiKUU Online Shopping Mall Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
754 Views
hello wana JF,kwa mwenyekujua mahali nitapaweza kuwapata bata bukini au wale wenye midomo ya njano tusaidiane mimi nipo dar na nataka kuanza ujasiriliamali na hao bata pamoja na bata maji thanks
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Masharti ya gari hiyobiwe 1.Namba C au D 2.Isizidi Cc 1350 3.imetembea km chache chini ya laki mbili 4.Haijawahi kugongwa wala kupakwa rangi 5.Transfer fee na law procejures tunachangia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Color Beige, CC 1490 AB ABS AW NV TV, 90,000km Total cost Tsh 9.8Mil + Ushuru Agiza nami: call/whatsapp +255715471659 e: hamoudautocom@gmail.com ..wakati wote ni wakati wa kazi..
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Our Company '' EXPERT SERVICE investment Ltd '' We offer Fumigation services and Pest Control service for : 1.Office &household 2.Compound (a) farm (b) Construction sites 3 . Warehouse...
0 Reactions
0 Replies
480 Views
Nina samsung min Hdd320 Intel Ram 2 Betri haikai na chaji Spika inatumia za nje ama earphone Ipo poa kila kitu Sina bei kubwa 180000 tu mwisho Nakuachia ukaenjoyukaenjoy Contat 0655997761
0 Reactions
5 Replies
960 Views
habar za muda huu jaman. kuna simu inauzwa n samsung s3 n nzma haiana tatzo kbsa. anayeitaka aje PM bei n 180,000/= maelewano pia yapo. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa wale wanaohitaji blogs au wanazo na wanahitaji kurekebishiwa zionekana za kibiashara ni kwa mtonyo wa 10000 tu nichek PM au nitumie text through my no. 0752292473 Blogs bora hukufanya umake...
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Habari za majukumu wanabodi, kama mada inavyojieleza,,ninababu yangu kanikabidhi Lita mia mbili za asali toka tabora..sina uzoefu WA bei harisi kwa hapa dar es salaam. Naomba mwenye ufaham na soko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Taja simu ya kisasa yenye kamera kuanzia 8 mp, ram 1 au 1.5, display 4.5 au 5. Kama ipo yenye zaidi ya hivyo au sawa na hivyo tusaidie kushare. Warning: isiwe used au model za tecno, itel na...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Bei ina range kati ya Tzs 33,000 to 60,000 kwa jumla. What's up 0789496898 or 0719525506
1 Reactions
15 Replies
15K Views
Wadau natafuta complete set ya King'amuzi cha AZAM TV kwa bei ya awamu ya tano aka bei chee, mwenye nacho ataje bei hapahapa jukwaan. Nikiona inalipa ndo tunaenda PM.
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Nauza fresh meat(nguruwe) kilo shilingi elfu 7,ukihitaji kwanzia kilo kumi kuendelea unaletewa ulipo, Nyama ni nzur sana,nguruwe kutoka moshi Wote mnakaribishwa kuweka order zenu +255752563313
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…