Inatumia umeme wa majumbani (220 V), Ni rahisi kutumia na ina umbo dogo (portable). Bei ya ofa 1,399,000 badala ya 1,600,000 . Fika dukani THE BRIDGE , Dsm tabata segerea mwisho stendi ya...
Bei ya ofa ni 2, 100,000 tu badala ya bei ya kawaida ya 2,250,000. Ofa itaisha tar 20.08.2017. Mashine ni ya diesel, na inapukuchua Tani 1 kwa saa. Ina matairi madogo na ni rahisi kuhamishika...
Habarini wakuu, poleni na majukumu ya hapa na pale. Kwa anayejuana na wakulima wa asali tafadhali naomba aniunganishe nao, nataka asali ya kununua kwa ajili ya biashara
MKIWATA ni NGO inashughulika na jinsi ya kusaidia kutatua matatizo ya vijana kama, matumizi ya madawa ya kulevya, magonjwa, ujasiriamali, ukosefu wa ajira. MKIWATA peke yake haiwezi fanikisha ili...
Habari zenu wadau wa biashara,
Ninataka kununua chain saw kwa ajili ya kukatia miti kwenye shamba langu jipya ili kusafisha shamba kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa kilimo.
sihitaji kubwa sana...
Habari zenu wapendwa..
Jamnii naomba msaada ni wapi nawezapata vifungashio vya bidhaa mbalimbali kama maharage ..sukari chumvi kwa kilo 1hadi 5
Asanteni sana
Habari zenu wana jamii f.?
Natumaini mu wazima wa afya njema wote, shida yangu mmi ni Kwa yeyote anaefahamu sehem wanapotengeza mifuko ya plastic au wanakouza naomba anifahamishe, ninashida nazo...
Habari zenu wapendwa,, karibuni nafanya huduma ya kufua nguo kwa kutumia mashine na kupasi. Bei zangu ni nafuu kuanzia 1500, napatikana mabibo makuburi, ubungo Dar es salaam , maeneo yote ya Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.