Kingamuzi chake kiko wapi mkuu ..Mm nina dishi la azam hata 40,000 ww nipe tu.
Kinaendaje mkuu ...?Ninacho mkuu kipya kabisa kina wiki mbili na risiti zake na kina kifurushi cha mwezi.
Ngoja nikirudi home nitakipiga picha ukione.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo nafikiri nikiuze kwa bei gani ili kiende fasta.Kinaendaje mkuu ...?
nilishaiuzaKingamuzi chake kiko wapi mkuu ..
Ushapata king'amuzi!? Na kama hujapata bajeti yako ni kiasi gani?Wadau natafuta complete set ya King'amuzi cha AZAM TV kwa bei ya awamu ya tano aka bei chee, mwenye nacho ataje bei hapahapa jukwaan. Nikiona inalipa ndo tunaenda PM.
Brother taja bei yako nijue kama ntaiweza .Ushapata king'amuzi!? Na kama hujapata bajeti yako ni kiasi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
King'amuzi kina kifurushi cha elfu 18 kipya kabisa utanipa 140000/=Brother taja bei yako nijue kama ntaiweza .