NINA LITA MIA MBILI ZA ASALI KUTOKA TABORA

BLOOD DIAMOND

Member
Mar 24, 2017
92
122
Habari za majukumu wanabodi, kama mada inavyojieleza,,ninababu yangu kanikabidhi Lita mia mbili za asali toka tabora..sina uzoefu WA bei harisi kwa hapa dar es salaam. Naomba mwenye ufaham na soko zuri kwa hapa dar na inauzwa kwa bei gani kwa dumu LA lita20

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom