Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa wale wapenzi wa uyoga au ambao wangependa kuujaribu, nauza uyoga fresh aina ya oyster mushroom. Kilo 1, shilingi 10000 Nusu kilo, shilingi 5000 Nipo dar, na na-deliver anywhere in dar...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau nahitaji kununua biashara ya drycleaner maeneo ya sumbawanga na katavi iwe ya kawaida sana kwa lengo la kuiboresha zaidi kuwa ya kisasa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa. Mahali: Kimara Bonyokwa Ukubwa: Nusu heka Kimepimwa na kuwekewa mawe. Huduma zote muhimu kama maji, umeme, usafiri, barabara zipo. Kwa bei na maelezo zaidi wasiliana na namba...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanafunzi wote wanaomaliza Darasa la Saba mwaka 2017 wanakaribishwa kwenye programu ya Pre-Form One kwa miezi mitatu, itakayofanyika shuleni Bahari Beach High School kuanzia 11 Septemba 2017 mpaka...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinachosema nahitaji projector ya bei isiyozidi 250k,. Nipe specs ya bidhaa yako tufanye biashara.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Online bedsheet dealers....Karibu hapa upate shuka nzuri 7000-12000 kwa moja moja. Foronya za mito aina zote, Bei Inarange 2000-10000 Foronya za godoro 10000-2000 Na bedcover zenye mpira...
1 Reactions
86 Replies
22K Views
Kuna laptop aina ya samsung model pv510. Ipo katika hali nzuri yaani clean na kila kitu kinafanya kazi vizuri. Ina; RAM 4GB HDD 250GB PROCESSOR NI 2.3GHZ DUO CORE INAKAA NA CHARGE SCREEN SIZE...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Niko Dar .Hiyo Canon inaenda 600000/ na Panasonic 500000/nicheck 0625674185 na pia nyingine ni Panasonic Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
For Sale... Fuso mayai, long body na crane.. Engine, gear box, dif, safi kabisa... Inahitaji tairi 6 zilizopo zimechoka na rim mbili, crane inahitaji matengenezo ya kuweka crane wire mpya na...
3 Reactions
61 Replies
12K Views
This is opportunity! Came and join. Ambaye yuko interested aseme na atoe namba ya simu au ni Pm nimetoa wazo na nitacoordinate . Cha kukumbuka ni mawazo yenu yanatakiwa tu make it happens. Wazo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
If you would like to summarize your data for easy understanding like this one please let me know. Linking formula, graphs, analysis etc Contact us +255755325442 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Habari za muda huu, kwa wapenzi wa ubuyu na wajasiriamali.. Nauza ubuyu kutoka Zanzibar kwa elfu 33 tu ndoo ndogo ya lita 10,ubuyu Mtamu.. Na napokea oda kwa idadi unayoitaka.. Ubuyu unapikwa...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Magari yafatayo yako sokoni hapa na weka picha moja moja na bei kwa maelezo zaidi juu ya (millage,model,cc,colour,Transmission) Nenda hapa kwenye Blog yetu mpya MAGARI au piga...
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Tunatengeneza school socks kwa bei nafuu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Offer yngu ni 250k Hdd iwe kuanzia 320 kuendelea iwe saf
0 Reactions
1 Replies
927 Views
Nauza vifaa tajwa hapo juu kwa bei ya kutupa kabisa Vifaa vya saluni Vito viwili kila kimoja 45000/= Vioo viwili kila kimoja 45000/= Mashine mbili bado mpya zina miezi mitatu tu kila moja 50000/=...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu habari za jioni, Shukrani zangu za dhati zimuendee mwenyenzi Mungu kwa kutupa uhai mpaka sasa na waandika uzi ya kujing'amua kiuchumi kupitia ujasiriamali. Bila kupoteza muda, ningependa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu. Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani. Bei ni million 5 kutoka Million 8...
1 Reactions
101 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…