Anaeuza projector tafadhali aniuzie

Anaeuza projector tafadhali aniuzie

Tujisahihishe Tz

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,061
Reaction score
1,367
Kama kichwa cha habari hapo juu kinachosema nahitaji projector ya bei isiyozidi 250k,.

Nipe specs ya bidhaa yako tufanye biashara.
 
Ungekua Arusha, tungefanya biashara; huwa nataka mtu aone kifaa menyewe na a-test ndipo tuongee biashara. Kilalaheri lakini mkuu.
Mkuu sawa ila nilitamani tufanye biashara!! Kama kipo vzr naweza kulipa nauli ya basi kukurudisha
 
Ni epson, nipo dar, ni mpya kabisa ipo tu kabatini, nipm namba yako
 
Back
Top Bottom