nivoj.sued
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 221
- 190
Wanafunzi wote wanaomaliza Darasa la Saba mwaka 2017 wanakaribishwa kwenye programu ya Pre-Form One kwa miezi mitatu, itakayofanyika shuleni Bahari Beach High School kuanzia 11 Septemba 2017 mpaka 01 Desemba 2017. Kwa maelezo zaidi soma Kipeperushi kifuatacho:
=====================KARIBUNI WOTE=================
Shule ya Bahari Beach inamilikiwa na Mhe. DC wa Kibaha, Assumpter L. Mshama. Yeye pia ni Mchungaji wa Madhehebu ya Kipentekoste na huwa anahudumu mara kwa mara katika Kanisa la shuleni hapo.
Kwa maelekezo kuhusu namna hya kujiunga chuma fomu ya usajili iliyoninginizwa hapa chini....

Attachments
-
bbhs1.jpg52 KB · Views: 114 -
Bahari Beach High School--PRE FORM ONE Registratin Form.docx321.1 KB · Views: 76
-
Assumpter Mshama-1.png54 KB · Views: 45 -
Assumpter Mshama-2.png61.9 KB · Views: 165 -
Assumpter Mshama-3.png415.2 KB · Views: 53 -
Assumpter Mshama-4.png439.2 KB · Views: 57 -
Assumpter Mshama-5.png115.9 KB · Views: 50