Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wakuu Natafuta Chuma kimoja kiwe self-contained maeneo ya Mbezi Beach, Sinza au Makongo Juu... Nyumba iwe ndani ya Fensi, Isiwe na wapangaji wengi kuepuka kupigizana kelele. Bajeti...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu,...Nakaribisha maombi ya wadau wanaoomba kuandikiwa bank proposals, project proposals, business plans, business ideas na ushauri wa kibiashara katika sekta za elimu, jamii, kilimo, afya...
3 Reactions
2 Replies
977 Views
Habari za saizi wapendwa, Mimi ni mtanzania mwenzenu niliyebahatika kukua katika FAMILIA ya kiufugaji,(KUKU WA KIENYEJI). Tuna kampuni yetu iitwayo SHITINDI POUTRY FARM AND HATCHER. Hii kampuni...
1 Reactions
19 Replies
9K Views
Nataka za sample hizi zenye mic n k Nikienda maduka mengi nakuta ambazo hazina mic Kama hizi nitazipata wapi hapa bongo na bei gani hizi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Hey kama unashamba maeneo hayo hapo juuo linalo uzwa bei ya 250,000/= nakuendelea mpaka 500,000/= Kwa Hekari ni PM tuyamalize. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
*KITABU CHA MASUALA YA GREENHOUSE SASA KINAPATIKANA* Habari wajasirimali wote na wanajihusiha na kilimo cha kisasa na wanaowiwa kujihusisha na kilimo cha kisasa hasa Greenhouse/Nethouse , sasa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa. Wakuu Mimi ni mjasiliamali mchanga sana narudia tena mjasiliamali mchanga sana, nahitaji vifungashio vya Mchele kuazia kilo moja, mbili, tano, na kumi kwa...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Tunachora Ramani za nyumba kwa bei nafuu sana kila mtu atajenga wasiliana nasi kwa Whatasapp +255717040837 / +255767267664
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Natafuta mteja wa dagaa wa bukoba kwa mikoa yote beikwa debe ni 36,000 tshs. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Specification: 230V AC, 500N.m. no-load speed <6000rpm 1. forward/reverse switch Bei: Tsh 350,000 Location: Kimara Dsm (Mikoani tunatuma) 0767 382 415
0 Reactions
1 Replies
772 Views
He, una Kisima? Unatumia generator? Wasiliana nami 0767276443 ujipatie solar water pump system kwa bei nafuu.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mawasiliano ni 0714 77 55 66 0683 77 55 66 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Make : Toyota Model : Coaster Mileage : 317,503km Engine size: 4,160cc Gasoline : Diesel Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Manual M/Year : 2000 Doors : 2 Seats : 29...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji kufungua kiwanda kidogo (home factory) cha kuzalisha Mikoba ya kina mama handbags za kisasa sawa na zile zinazotoka China. Tena zangu zina ubora zaidi. Mimi ni designer wa hizo bidhaa...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Fursa kwa wale logo makers, Nahitaji logo yenye components zifuatazo. Iwe na circle ya Dunia ( world Map ), not detailed Iwe na ramani / map ya Afrika ( not detailed ) Iwe na sarafu ya fedha...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
gb16,silver...bei 280,000/-..nipo dar nicheki 0657124173
0 Reactions
1 Replies
928 Views
True Ink Associates inapenda kuwatangazia wote kuwa review class ya CISA (Certified Information Systems Auditor) kwa ajili ya kuwapa ujuzi wanafunzi utaalamu wa jinsi ya kukagua mifumo ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nissan Navara 2.5 Di Manufacture year-1998 Engine capacity-2779cc Mileage-176500km Transmission-Manual Fuel-Diesel Price-24 millions Contact;0787395557
0 Reactions
1 Replies
724 Views
Kuna vyumba vinapangishwa Dodoma mjini, self contained, woodern syling board, no tiles but nice floor, water available in doors 24hrs, electricity (10,000/= kwa mwezi), bei 80,000/= kwa mwezi...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Lipo maeneo ya Ukonga kipunguni moshi bar. Ni hivi ilikuwa ni nyumba kubwa lkn mwenyewe watu aliowaachia wantuzie hiyo nyumba upande mmoja wa nyumba walikuwa wamechimba mchanga nyumba ikabomoka...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…