Natafuta mshirika wa biashara

Natafuta mshirika wa biashara

mpolemimi

Member
Joined
Jul 23, 2014
Posts
39
Reaction score
11
Nahitaji kufungua kiwanda kidogo (home factory) cha kuzalisha Mikoba ya kina mama handbags za kisasa sawa na zile zinazotoka China. Tena zangu zina ubora zaidi. Mimi ni designer wa hizo bidhaa. Kilicho nikwamisha sasa ni mtaji hivyo natafuta mtu wa kushirikiana nae Mimi nitatoa ujuzi pamoja na kusimamia uzalisha. Yeye atoe mtaji. Kiwango cha chini cha mtaji ni 1.5ml. Maelezo zaidi wasiliana nami WhatsApp or call 0622123480 Niko dar es salaam. Soko na faida ni ya uwakika
 
Attachments

  • PhotoGrid_1504722284798.jpg
    PhotoGrid_1504722284798.jpg
    31.3 KB · Views: 60
  • PhotoGrid_1504722188047.jpg
    PhotoGrid_1504722188047.jpg
    39.1 KB · Views: 50
  • PhotoGrid_1504016158200.jpg
    PhotoGrid_1504016158200.jpg
    39.5 KB · Views: 60
  • PhotoGrid_1503755341051.jpg
    PhotoGrid_1503755341051.jpg
    50 KB · Views: 76
  • PhotoGrid_1503755259345.jpg
    PhotoGrid_1503755259345.jpg
    105.9 KB · Views: 58
1.5 nini?

Unakadilia kwa mwezi tunaweza kuzalisha mikoba mingapi.?

Uko mkoa gani?

Nimevutiwa na hiyo biashara,na tukielewana nitatoa fedha
 
Mkuu soko unalo? I mean resarch yako inasema mzigo utatembea?

1.5 sio issue sana kwa watu cha msingi wawe na uhakika wa faida.
 
Soko lipo. Na
1.5 nini?

Unakadilia kwa mwezi tunaweza kuzalisha mikoba mingapi.?

Uko mkoa gani?

Nimevutiwa na hiyo biashara,na tukielewana nitatoa fedha

1.5 nini?

Unakadilia kwa mwezi tunaweza kuzalisha mikoba mingapi.?

Uko mkoa gani?

Nimevutiwa na hiyo biashara,na tukielewana nitatoa fedha
1.5 mil nipo Dar faida na soko ni la uwakika naomba tuwasiliane namba hizo juu
 
Nahitaji kufungua kiwanda kidogo (home factory) cha kuzalisha Mikoba ya kina mama handbags za kisasa sawa na zile zinazotoka China. Tena zangu zina ubora zaidi. Mimi ni designer wa hizo bidhaa. Kilicho nikwamisha sasa ni mtaji hivyo natafuta mtu wa kushirikiana nae Mimi nitatoa ujuzi pamoja na kusimamia uzalisha. Yeye atoe mtaji. Kiwango cha chini cha mtaji ni 1.5ml. Maelezo zaidi wasiliana nami WhatsApp or call 0622123480 Niko dar es salaam. Soko na faida ni ya uwakika
Wewe ni me au ke?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom