Habari ya leo? Kama atapatikana mteja wa kuchukua ekari zote 21 kwa (70 maongezi )ni sawa pia . Shamba ina mawe tayari na hati iko katika process. Eneo ni Fukayosi Bagamoyo.
1)Pana nyumba ya...
wasalaam ndugu zangu.
1.Eneo liko mbwanga mwanzoni inapopakana na nkuhungu ni sehemu bora sana
2.Umbali kutoka town centre ni kilomita 6
3.Umbali kutoka barabara kuu ya lami iendayo...
Karibuni kwa mbao nzuri na bei poa kabisa, pia tuna safirisha ndani na nnje ya nnchi kwa bei nafuu saana. Wasiliana nasi kupitia;
· +255768181757
· Or
· +255754961148
pia...
PRIDE XPRESS ni kampuni inayotoa Huduma ya Pick up and Delivery iliyopo Kinondoni mwanamboka jijini Dar es salaam. Kwa vifurushi vya ndani ya Dar es salaam na mizigo yoyote kwenda nje ya Dar es...
Eneo la 1600sqm lenye mabanda na system ya maji na solar tayari linauzwa maeneo ya Kiromo bagamoyo. Cost ya Mabanda pmj na system ya maji na solar ni 12.5m gharama ya kununua eneo ni 7.5m (malipo...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kununua mpira wa miguu kwa matumizi yangu binafsi. Naomba mwenye uelewa wa wapi ninapoweza kuupata anijuze tafadhali
Ninashida na laptop bei ya kununulia mpya cna. Mtu mwenye laptop yake anayetaka kuuza anitafute. Iwe na Ram 4GB Au zaid Hard disk ikiwa 1000 au zaid ni vizuri. Pia asiwe ametumia zaid ya miaka...
Hamjambo wakuu, bila kupoteza muda nahitaji kujua wapi nitapata duka linalouza hizi Staff Moka za kisasa nilizoambatanisha picha zake hapo chini.
Zingatie bei iwe nafuu na sio bei zile za Mlimani...
Habari wakuu,
Naomba mtu mwenye mpira wa kumwagilia maji wenye urefu wa mita 100, inchi 2 uliotumika lakini upo katika hali nzuri nataka kutumia kwenye pump yangu!
Tuwasiliane PM
I have honey in two appearance
(1) Honeycomb
(2) Honey Fresh
It's natural and fresh from Hive
Nina Asali ya masega na Asali Mchuzi (Yaani Asali kimiminika) .
Ni Fresh na asilia toka kwenye...
Salaam! Waungwana nataka kufanya ufugaji wa kuku, lakini kuanzia nataka kupangisha mabanda. Hivyo mwenye banda la kuku amabalo linaweza kutosha kufugia kuku 500-1000 naomba ani PM. Nitafurahi...
Kama kuna mwenye kuhitaji kununua au kuuza kiwanja au Nyumba ndani ya JIJI la Mwanza na Viunga vyake wasiliana nasi upate mahali/sehemu yoyote jijin Mwanza.
mawasiliano.0767791405/0789998398...