Habri gani wakuu?<br />Tunapenda kuwajulisha kuwa tunafanya shughuli zilizoainishwa kwenye kichwa cha habari,yaani ujenzi wa mabwawa ya samaki,nyumba za kuishi na mabanda ya kisasa ya kuku,nguruwe na structures zote za matumizi ya kawaida ya kibinadamu kwa gharama nafuu sana.<br />Karibuni sana tuwahudumie. Pia tunatoa ushauri juu ya finishing ya majengo, mabwawa, mabanda, vifaa vya ufugaji wa mifugo, utengenezaji wa vyakula vya: samaki, nguruwe, na kuku, na mambo mengine mengi yanayohusiana na hayo yote.<br />Tupigieni kwa namba hii: 0746060789 tuwahudumie.<br />Karibuni sana.