Mobile application alama za barabarani!! quiz

Mobile application alama za barabarani!! quiz

Barabarani

Member
Joined
Sep 27, 2017
Posts
19
Reaction score
8
PATA [HASHTAG]#Application[/HASHTAG] MPYA kuhusu mafunzo ya ALAMA na SHERIA za [HASHTAG]#BARABARANI[/HASHTAG] Tanzania.!! Tazama picha na video uone jinsi ya kutumia!

ALAMA ZA BARABARANI
MOBILE APPLICATION:
Bonyeza link upakue Lite Version ya BURE, au pakua TOLEO KAMILI moja kwa moja!!

iPHONE/iOS
Lite versionen:
Alama Barabarani Quiz Lite on the App Store

Full versionen:
Alama Barabarani Quiz on the App Store

ANDROID
Lite version: Alama Barabarani Quiz Lite – Програми Android у Google Play

Full version: Alama Barabarani Quiz – Програми Android у Google Play

Application BORA na ya kipekee kabisa! , ipo App Store na Google Play!! Ni app ya kwanza tanzania kuhusu [HASHTAG]#usalama[/HASHTAG] [HASHTAG]#barabarani[/HASHTAG]!!
Wahi sasa download toleo la mwanzo! Jaribu toleo la bure, kisha pakua Toleo Kamili ufaidike na mafunzo ya Alama na Sheria za [HASHTAG]#Barabarani[/HASHTAG]. Ipo Play Store na App Store.

»»»»»»»»»»»»»»»»»»
APPLICATION INA VITU VIFUATAVYO:
» Alama na Michoro yote ya Barabarani
» Maelezo yanayojitosheleza
» Maswali kujenga ufahamu wako
» Makundi mbalimbali ya Alama za Barabarani
» ChemshaBongo kupima uelewa wako na kuongeza ujuzi
» Uwezo wa kutafuta alama yoyote unayotaka
» Picha za Ubora wa hali ya juu
» Michoro nadhifu!
» Maswali bila ukomo
» Hakuna matangazo yanayokera
» Ipo kwa Android na iOS.
» Hakuna ada za siri
» Huduma kwa wateja kupitia barua pepe.
» Maelezo kwa Kiswahili!!!
» App imezingatia pia alama za SADCC!.
«»»»»»»»»»»»»»»»»»»»»»»
CHANZO CHA MAELEZO:
WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI & MAWASILIANO.
Facebook page: Alama Barabarani- ChemshaBongo
Tumia barua pepe ndani ya APP
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom