Kiwanja na nyumba zinauzwa

Kiwanja na nyumba zinauzwa

tongs

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
539
Reaction score
942
Umuofia kwenu kama thread inavosema, nakama picha zinavoonekana, nyumba tatu ndani ya kiwanja kimoja zinauzwa uyole Mbeya.

Nyumba moja ishafika juu, zingine ziko nusu nyumba zote tatu zimezungushiwa Fensi moja ya matofali (three in one)

Ambaye yuko interested anaweza kunichek.
IMG-20170928-WA0011.jpg
IMG-20170928-WA0008.jpg
IMG-20170928-WA0006.jpg
IMG-20170928-WA0010.jpg

Thanks
 
Badili kichwa,isomeke Uwanja wenye Boma+ msingi..
 
taja bei mkuuu tujipime.... tusipoteze vocha zetu kupiga piga simu
 
40M wakuu. Room ya kubargain ipo
 
Back
Top Bottom