Nauza viwanja viwili-Puna Kigamboni

Nauza viwanja viwili-Puna Kigamboni

AMAFUMU

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
221
Reaction score
114
Nina survey plots mbili naziweka sokoni.

Ziko Puna kigamboni- umbali ni 45km kutoka ferry, umeme uko tayari, barabara ya rami imeishia 20km kutoka ferry but inaendelea kujengwa kwa phase.

Bei yangu ni 10,000@ sqm viwanja vinaukubwa wa 700sqm hadi 1100sqm.

Documents za kukuwezesha kupata hati nakupatia na kukuunganisha na mtu wa Municipal wa kigamboni for hati processing.

Nitafute kwa +255627911500(WhatsAp) OR +255714227532.
 
Documents gani izo mkuu au una maana vimeshapewa tittle namba? Na umeme upo kwenye viwanja?
 
mkuu wengine washamba,tuambie kwa heka moja tsh ngapi?
 
Documents gani izo mkuu au una maana vimeshapewa tittle namba? Na umeme upo kwenye viwanja?
Yes nakupa mchoro na fomu za mipaka iliyopigwa mhuri wa serikali ya kijiji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom